Viwanja Kibaha-Bokotimiza

Viwanja Kibaha-Bokotimiza

Joined
Jul 24, 2016
Posts
6
Reaction score
3
Hello! Habari
Kama una ndoto ya kujenga au kuwekeza chukua hatua ya kununua na kumiliki ardhi maana ndiyo hatua ya kwanza na msingi bora kabla ya mambo mengine yote.

Nunua na kumiliki kiwanja eneo la KIBAHA-BOKOTIMIZA eneo ambalo ndiyo jicho la mandeleo kwa mji wa kibaka.

Viwanja viko umbali wa 5km kutoka Morogoro road nyuma ya hospital ya Tumbi kibaha, pia viwanja hivi viko pembezoni mwa barabara kuu inayoanza kujengwa hivi karibuni ya kutoka Ubungo- Chalinze.

Bei ya viwanja ni 10,000/= kwa mita moja na viwanja vinaanza kwa ukubwa wa 20×20 na kuendelea..........
Malipo ni kwa cash au kidogokidogo baada ya kulipia 25% au 50% ya thamani ya kiwanja utakachochukua.

Barabara zimechongwa ndani ya mradi, pia umeme na maji ya dawasco yapo ndani ya mradi.
Na ujenzi eneo hili ni nafuu sana maana mchanga upo na tofari za aina zote zinapatikana kwa bei nafuu sana karibu na mradi na tayari kumeshaanza kujengeka na kuna watu wanaishi vizuri na usafiri upo.
Wahi na uchague eneo zuri zaidi maana mradi bado mpya kabisa.

Piga namba zifuatazo kwa maelezo zaidi,
>0655 009861
>WhatsApp [HASHTAG]#0625[/HASHTAG] 513325
 
Hope mradi uko chini ya halmashauri whatever the case uliposema tu mradi uko karibu na barabara itakayojengwa... !!? anyway tuwasubiri wajuvi
 
Vina hati? Vimepimwa? Ww ni kampuni? Mnakibali chakufny izo mambo? Zama za magu punguzen bei kwa mita ata 6500 itapendeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom