T talk2me Member Joined Jan 22, 2010 Posts 11 Reaction score 8 Sep 19, 2016 #1 Habari wanajamvi,kuna viwanja (havijapimwa bado -shamba) ekari 2 vinauzwa vyote kwa pamoja. Ekari moja inauzwa kwa Tsh 10,000,000. Vipo Nkuhungu karibia na mnadani - mita 200 kutoka barabara ya lami (Dodoma -Singida) Karibuni sana. 0715 251100.
Habari wanajamvi,kuna viwanja (havijapimwa bado -shamba) ekari 2 vinauzwa vyote kwa pamoja. Ekari moja inauzwa kwa Tsh 10,000,000. Vipo Nkuhungu karibia na mnadani - mita 200 kutoka barabara ya lami (Dodoma -Singida) Karibuni sana. 0715 251100.
benjamathayo Member Joined May 22, 2018 Posts 76 Reaction score 81 May 14, 2020 #2 Mkuu kama bado haujauza naomba unicheki Sent using Jamii Forums mobile app
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,507 May 14, 2020 #3 havijashuka bei mkuu?