Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Ahlan Wasahlan wakuu.. Kuna viwanja vinauzwa bagamoyo mt40 kwa 40.. Vipo eneo flan linaitwa Kiromo km chache kabla ya kufika mjini... Viwanja hivi vipo umbali wa mita 120 hivi kutoka ktk barabara ya dar- bagamoyo... Bei ni maelewano.. Havina hati.. Ni eneo lililozungukwa na makazi ya watu.. Ni karibu mkabala na wanapojenga makumbusho ya taifa....Dalali haitajiki... Kwa wanaohitaji wampigie muhusika huyu 0754964177 anaitwa Julio.