Unaweza kulima nini huko?je kuna watu wanaishi huko?serikali ya mtaa iko karibu?yasije kuwa mapori ya hifadhi
Yes bhakresa yupo mbele , ni eneo hili hilo upo sawa sawaHivi viwanja sio kule anakopewa bhakressa eneo la kiwanda cha sukari? Kuweni makini wanunuzi wa hivyo viwanja
Serikali ya mitaa ipo karibu , ndio hapo kwenye bendera pichaniUnaweza kulima nini huko?je kuna watu wanaishi huko?serikali ya mtaa iko karibu?yasije kuwa mapori ya hifadhi
0629037727/0744974570basi weka namba nahitaji viwili
Nilifika hapo 23km kutoka barabara ya Bagamoyo-Msata, sikuwa interested, uuzaji ni holela na hakuna planning, haieleweki mpaka wa shamba la bakhresa na hilo eneo upo wapi, wao wanasema "ni huko mbele" yaan ni kama mchezo wa deci vile.Hivi viwanja sio kule anakopewa bhakressa eneo la kiwanda cha sukari? Kuweni makini wanunuzi wa hivyo viwanja