Viwanja 10 vyauzwa Kisulu, Kigoma

Viwanja 10 vyauzwa Kisulu, Kigoma

YASHA MOKA

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
26
Reaction score
0
Viwanja hivyo viko wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma, vinauzwa kwa bei nafuu kabisa. Viwanja vilishapimwa.

Mawasiliano zaidi piga no: 0758036032

Karibuni wote..
 
popote pale uliko vipo sehem ilio tulia kabisa mti yakupandwa ipo hewa safi kabisa pia
 
sehem viliko hakuna vumbi kuna kichanga kingi sehem yakasulu kunavisehem vimegawanyika kialidhi hapo vumbi nimalufuku
 
popote pale uliko vipo sehem ilio tulia kabisa miti yakupandwa ipo hewa safi kabisa pia
 
mbona simu yako haipatikani?eleza vzr viwanja ni size gani?viko wapi?bei gani?
pia mbona simu yako haipatikani?
 
Hivi we mtu mbona unaleta dharau hapa kiwanja kasulu kgm unatutangazia na watu wa dsm! Ebu andika tangazo sambaza kijijini kwenu huko....
 
Hivi we mtu mbona unaleta dharau hapa kiwanja kasulu kgm unatutangazia na watu wa dsm! Ebu andika tangazo sambaza kijijini kwenu huko....

Kasulu inaizidi Iringa, Lindi, Mtwara, Moshi,Songea, Geita, Kigoma na mikoa kibao tu kwa square kms. usibishe nina ushahidi na ntakubishia mpaka kesho. Ni mji unaotanuka kwa kasi na hela inapatikana. Karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom