Viwanda Hivi Vinapatikana Wapi?

nyamtengwa

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
11
Reaction score
6
Jamani samahanini naihitaji kufahamu majina ya hivyo viwanda, Sehemu vilipo na vinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa gani ili na mimi nipeleke maombi..
 
Ukiona mama anatengeneza batiki, dawa za chooni etc wote wapo kwa hyo hesabu.
 
Huyo shoe shine hapo nje kwenu yumo kwenye idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…