Viungo vya chakula

clap

Senior Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
188
Reaction score
97
Habari
Wadau napenda kuwatangazia kuwa nauza viungo vya chakula (Pilau masala, mdalasini, Tangawizi, Pilipili manga, Kahawa, Karafuu na irik) jumla na rejareja
Tunapatikana Morogoro Mjini kwa mawasiliano 0746303234.

Na pia tunatafuta mawakala wa kutusambazia mikoa ya Pwani, Iringa Dodoma na Tanga ambapo atauziwa kwa bei ya jumla
Z food product "JIRAMBEE"

Ahsante
 

Attachments

  • IMG_20171130_180524.jpeg
    43.2 KB · Views: 78
Habari wakuu kama unamahitaji ya viungo vya chakula kama vile pilau masala, Tangawizi Mdalasini Tunapatikana morogoro mjini 0746 303234 Tunakuletea ulipo ndani ya manispaa ya Morogoro na pia tunatuma mikoani
 
nimependa hiyo sentensi ya mwisho! Akhasante mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…