Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Kanoute yule mtu mbadi kweli kweliMuzamiru shida ya pasi mkaa bado anayo.Kanoute katili mno.
Simba inafikiria zaidi kimataifa nyinyi bakini kua timu ya Daby.Hawa waliopigwa 6 na Namungo,wapimeni wakikutana na kina Fei
Kuwa hamnazo ndiyo sifa kubwa ya kuwa mwanayangaHawa waliopigwa 6 na Namungo,wapimeni wakikutana na kina Fei
Hao akina Fei wapo kundi gani la CAF? au basi walau kundi gani la Whatsapp?Hawa waliopigwa 6 na Namungo,wapimeni wakikutana na kina Fei
Hv leo kapigwa kadi. Ila kwa shughuli yake kadi lazima kama gattussoKanoute ni shida mechi ukiisha bila Kadi ya njano anajutia Sana.
Ramos wa simba
Kanoute sasa hivi ni free role anapandisha team haraka chama na mzamiru wanacheza pembeni yake maana hana speed ndo maana anaitwa Vladimir PutinHongereni Simba kwa kusonga mbele group stage. Leo mechi niliiangalia kwa hawa viungo wa kati wa simba Mzamiru Yasin na Kanoute a.k.a Putin.
Kwanza majina yao ya utani yanaakisi wanachokifanya uwanjani (Kiungo Punda, punda kweli kweli na Vladimir Putin roho ya paka ukizubaa anakutoa roho) hahahaaaaa wanafurahisha sana. Mzamamiru kazaliwa upyaaaa.
Wanakaba, wanaunganisha timu, wanasogea kushambulia pande zote, wanachukua mipira kwa mabeki na kusogea nayo mbele hakika wameiva.
Bonge la combination. Nungunungu atulie kwa kweli anacheza kifaza sana ye atasubiri mechi lainilaini.
Group stage tunategemea burudani zaidi kutoka kwao.
Acheni kupamba mavi mauaKanoute kijana mkatili. Na anajua kupiga pasi nzuri.