wadau.....
kwa mwenye uhitaji na sio longo longo....nauza ndinga yangu
a) Ni Vitz
b) Pink kwa rangi
c) cc 990
d) 1999
ipo kwenye hali nzuri sana. na kila kitu kipo. if you interested
Call...0652590519
Weka bei na picha bana...hata kama ciitaji mimi naweza mwambia mwingine so inaelezeka vizuri kama nikiona walau picha na nikijua bei unayoanza nayo..hyo nayo inahitaji elimu ya university mkuu kuyajua hayo?