Vitz new model au toyota ist

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,694
Reaction score
13,324
Vitz new model cc 1290 na ist old cc 1290

Ist bei juu vitz bei chini ila nataka gari nzuri je niende na ipi?
 
IST inagusa 20M sasahivi wakati Vitz ukienda pale showroom za Jan international unapata kwa 14M tena ya mwaka 2012. Nashauri nenda na Vitz
 
Vitz new model cc 1290 na ist old cc 1290

Ist bei juu vitz bei chini ila nataka gari nzuri je niende na ipi?
Je, mfuko wako unkuruhusu ipi.?!

Kama unakuruhusu Ist basi karibu kwaajili ya IST lakini kama ni vitz basi karibu kwaajili ya Toyota Vitz

Karibu ofisini kwetu
TUPO ARUSHA KALOLENI KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH

OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR


☎️ : +255797113153
 

Attachments

  • IMG-20260120-WA0284(1).jpg
    95.2 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…