Mileage 130000
Cc 1290
Old model 2004
Vibali vyote vimelipiwa... Gari iko katika hali nzuri.
Kwa mawasiliano piga/whats app 0763434194
Bei ni 5,200,000/=
Wewe sio mzima huwezi kuuza Vitz namba B milioni 5.2 wakati unaweza kupata Vitz namba D kwa hiyo hiyo hela na Mpya kabisa unaweza kupata kwa milioni 8.9

Ww unayenunua gari kwa kuangalia plate number ni hatari sana... Kama unaona bei kubwa piga simu kuna maelewano.... Haina haja ya kumwambia mtu sio mzima kisa anauza kitu chake