Mileage :64,503 km. Imetembea Dar kwa mwaka mmoja tu toka inunuliwe. Namba inaanzia D.
Documents zote zipo. Picha zimeambatanishwa kwa maelezo zaidi.
Bei 10m.
Kwa mawasiliano zaidi, piga 0714-313362
Vits imetumika bongo mwaka mzima afu unauza milioni kumi??? Wakati nikiagiza Subaru kwa mjapani mpaka inaingia barabarani natumia milioni kumi na moja. Endesha mwenyewe gari za watoto hizo