Uza!
Of course kununua gari bongo inabidi kuwa na umakini wa hali ya juu maana wauza magari wengi wadanganyifu sana na hutumia kutokujua kwa mteja kama namna ya kufosi mauzo. Muanzisha thread anasema hakujua kama gari in 4WD na kama muuzaji angekuwa na ethics angemuambia kuwa ni 4WD!Kumbe ndo maana watu huwa hawashauri mtu kununua gari hapa Bongo!
Kama mentality ya watanzania wenyewe ndo hii!
Pamoja na 4wd inachangia ulaji mafuta je gari yako ukiendesha inakuwa na pulling nzuri. Kwa maana kuwa iwe nyepesi na kasi kwenye kuondoka maana kama haina nguvu inaweza kuwa na piston ring zimechoka kunasababisha gari kutumia mafuta mengi.
Hula 7.5-8.2l wakati gani?Salaam!
Nina gari aina ya Toyota Vitz 2NZ-FE(1.3L) 4WD ya mwaka 2000 ambayo nilinunua Show Room hivo sikujua kabisa kama ni 4WD mpaka nilipo google chasis number nkaona hilo gari huko beforward na kuona pia lina support 4WD.
Issue kubwa na hili gari ni ulaji wa mafuta ambao sikuwa nimeutegemea au nimeupigia hesabu kabla ya kununua gari,maana matarajio yangu nilitegemea icheze kwenye 13km/l on average na hii ni economical kabisa per day kulingana na umbali kuelekea kazini kwangu.
Kwa sasa inakula 7.5-8.2km/l na nilishaleta thread humu na nilizifanyia kazi recommendations zote ikiwemo kutumia 5w-30 oil viscosity lakini pia nilibadili spark plugs nakuweka zile zile nilizokuta kwenye gari i.e NGK plugs ambazo sio za sindano.
Pia nilipeleka gari likasafishwa Nozzels na air clearner ilikua mpya lakini ilisafishwa pia na mafundi wakanishauri ubadirishaji wa tabia za uendeshaji!
Baada ya marekebisho yote haya sijaona mabadiliko yoyote katika Ulaji wa mafuta.
Lakini katika kusoma soma mitandao nkaona huko mitandaoni watu wakisema kuwa ulaji wa mafuta Vitz za 4WD hauko economical ukilinganisha na zile za 2WD/FF.
Na baadhi ya wachangiaji wenye Vitz za hivo wakaonesha fuel economy yao inacheza hapo hapo kama yangu.
Na baadhi yao wakileta mjadala kuwa ukiondoa shaft ya 4WD basi fuel economy itakua vizuri zaidi wakati wengine wakisisitiza kabisa kuwa ukiondoa 4WD shaft kwa gari ambayo ilitengenezwa iwe 4WD maana yake gari itatumia nguvu zaidi na fuel economy itashuka zaidi.
Sasa mimi mpaka hapa nilipofikia nafikiri hili swala la 4WD ndo linafanya gari hili lisiwe na Fuel economy nzuri ila nataka mawazo yenu maana mimi sio mtaalamu wa haya magari na isitoshe sijui kama gari yangu shaft ya 4WD iko ON/OFF maana gari lilikua used from Japan.
Ila nataka kujua impact ya hiyo shaft kuwa ON/OFF vs Fuel economy.
Ikumbukwe uki google hili gari wanakuonesha fuel economy ni 6L/100Kms ambayo ni sawa na 16Km/L on average.
2000 Toyota Vitz, U Modification - all pics, specs, parts and prices
Natanguliza shukrani!
Hula 7.5-8.2l wakati gani?
Kwenye foleni?
unapotumia gea ndogo?
au
Unapokuwa highway?
LABDA
4WD hazina matatizo kwenye kutumia, nilishawahi kutumia sprinter, it was just ok
Na sasa natumia BREVIS, still iko OK.
Hilo litakuwa ni tatizo binafsi za mashine, tusisisngizie 4WD kuwa ndio tatizo.
Pole.Mara nyingi gari nalitumia kwenda kazini speed nayotumia average 35km/h
BaraBara haina foleni kabisa about 1Km ndo kuna barabara ya vumbi na vibonde vya hapa na pale!
Bado naamini hii consumption sio ya kawaida kwa gari la 1300cc!
Hula 7.5-8.2l wakati gani?
Kwenye foleni?
unapotumia gea ndogo?
au
Unapokuwa highway?
LABDA
4WD hazina matatizo kwenye kutumia, nilishawahi kutumia sprinter, it was just ok
Na sasa natumia BREVIS, still iko OK.
Hilo litakuwa ni tatizo binafsi za mashine, tusisisngizie 4WD kuwa ndio tatizo.
Duhhhhh,Nina IST 4WD inanipa 445 km kwa lita 40..niliitoa Mpanda mpaka Tunduma geji inasoma Empty
Yes bro na bado nipo nayo...naiheshimu sana..halaf kwenye barabara imetulia sana ni cc1500 ya mwaka 2002Duhhhhh,
Hongera mkuu.Yes bro na bado nipo nayo...naiheshimu sana..halaf kwenye barabara imetulia sana ni cc1500 ya mwaka 2002
inakunywa sana wese, Lita 1 kwa km 11??Yes bro na bado nipo nayo...naiheshimu sana..halaf kwenye barabara imetulia sana ni cc1500 ya mwaka 2002
inakunywa sana wese, Lita 1 kwa km 11??
Pole.
TUangale jinsi mfumo wa mafuta unavyoweza kuwa:-
Tank-fuel pump-pipes-petrol filter-nozzles
ambapo baade huunganishwa na:-
mfumo wa umeme(Sensors), plugs, na combustion chamber na hasa kama ama piston au bore holes zikiwa zimelika.
piga less na angalia kamamashine yako inavuta mpaka 7 au 8 ili kujua uzima wa mashine na associated accessories.
Gearbox ikiwa haifanyi kazi vizuri, nayo huchangia sana.
Kiufundi, kimoja kati ya hivyo kinaweza kuwa ndio chanzo cha utumiaji wa mafuta mengi.
Fanya tracking ya mfumo for problem determination/shooting.
Usikubali kubadilishiwa haraka haraka vyombo na mafundi, usipoangalia watakuambia ubadili hado Bodi.
Hata mfumo wa kuingizia hewa, kuanzia kwenye air cleaner waweza kuwa chanzo pia.maana nilishampatia scenario fundi kashanambia kubadili sijui nozzels!
Then ikigoma hapo akabadili sijui vitu gani kwenye Engine!