Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Wabongo mna shida - point ya kwanza ni uongo, tena uongo umevuka boda! Hivi ukitoka na masela wa mtaani ama wa kazini kwenda kupiga mitungi, inamaana nyote muwa kabila moja? hebu wacha kuropoka utopolo! 🤣 🤣 🤣... Ya pili, mbona kweli, majamaa wa Tz mnapendaga jicho, kutokana na pita pita zangu JF, nimelitambua hilo hata kama wewe sio mambo yako! 🤣 Ishaisha iyo!Ntakua na update time to time as napata.
1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunya Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.
2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawambia siyo kweli ni matatizo ya insgram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Leta mastory ya kenya Tony254 komora096Ntakua na update time to time as napata.
1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.
2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Dah aliyeelewa huu Uzi msaada tafafhaliNtakua na update time to time as napata.
1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.
2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Hiyo ni dalili ya kumwagana damu kwenye uchaguzi ujao[emoji2958][emoji2958][emoji2958] usitake kutudanganyajifunze kuandika basi... sio kwa kuchapia huko.
back to the topic,,,
sioni shida hapo kwani ikiwa nyote mumetokea sehemu moja na munaongea lugha moja, munakumbushiana tu some good ol' memories na kupatiana any developing updates bila kudhuru mtu yeyote. wewe shida yako iko wapi?
Wewe endelea kugawa tigo.Ntakua na update time to time as napata.
1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.
2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
jifunze kuandika basi... sio kwa kuchapia huko.
back to the topic,,,
sioni shida hapo kwani ikiwa nyote mumetokea sehemu moja na munaongea lugha moja, munakumbushiana tu some good ol' memories na kupatiana any developing updates bila kudhuru mtu yeyote. wewe shida yako iko wapi?
Boss unajaribu kusema kwamba hapa Kenya watu wa kabila tofauti hawafanyi biashara pamoja na pia eti watu wa kabila tofauti hawafungi ndoa?This is primitive, and hillbilly.
See below My top 5 best friends are coming from different ethnics,
Mmoja ni Muha wa Kigoma
Mmoja ni chagga,
Mmoja ni Haya,
Mmoja ni Mchewa wa malawi huko
Mmoja ni Mzamiaji toka huko taita taveta
Tumekutana since 2004 tukiwa wadogo (secondary) na sasa tumekuwa ni ndugu wenye Mafungamano kuanzia familia zetu na tayari tuna biashara za pamoja as a family.
Hawa hata nikiaga kwa wife naenda safari ikiwa nipo mjini kwa majukumu mengine ya kifamilia basi watafahamu na wataelewa namna ya kumjulisha shemeji yao ikiwa sipatikani hewani na ananiulizia kwao[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa ndio wananipa connections huko mikoani nikisafiri (mabaharia wanaelewa namaanisha nini)
This is how we live in Tz ndio maana jamaa huko lazima ashangae,
Na ni ajabu sana 21st Century kuwa na tribal mindsets dunia ya Leo,
This is only in Kenya and you may be surprised it is coming from those claiming to be educated.
Boss unajaribu kusema kwamba hapa Kenya watu wa kabila tofauti hawafanyi biashara pamoja na pia eti watu wa kabila tofauti hawafungi ndoa?
Labda slum ndiyo wanaweka ukabila pembeni mbele ya chapaBoss unajaribu kusema kwamba hapa Kenya watu wa kabila tofauti hawafanyi biashara pamoja na pia eti watu wa kabila tofauti hawafungi ndoa?
Jamani zoom hiyo picha kwenye bango chini upande wa kulia mtaona tomato source [emoji1][emoji3]pia unatiliwa kwa bei tofauti na kachumbari nayo bei kivyake nahisi hadi ukitaka kuongeza chumvi kwa chakula unapewa bei yake ksh 5Leta mastory ya kenya Tony254 komora096
MK254
Kama umeshaingia kwenye migahawa yao weka bei ya kachumbari na tomato source,kwa hii picha zinaonekana kwa mbali ni nairobi hapo [emoji1787][emoji1787]View attachment 1946008
Unajua wanaogopa nini ? Jamaa ni wachafu sana huko nyuma hawatakagi kujisafisha kwa maji hata kuoga wanaoga kidumu cha lita 3 za majiHapo kwenye wanaume wa TZ kupenda kula tigo iliwahi nikosesha demu mombasa dah
Mtoto mkali ila nilivyosema mimi kutoka tanzaniano dah mwisho wa urafiki na kuanza kuulizwa maswali ya ajabu
But jus weekend nimekua na wachaga 6 tukila bata, so pia mimi niseme tanzanians are tribal too?,that logic cant hold waterThis is primitive, and hillbilly.
See below My top 5 best friends are coming from different ethnics,
Mmoja ni Muha wa Kigoma
Mmoja ni chagga,
Mmoja ni Haya,
Mmoja ni Mchewa wa malawi huko
Mmoja ni Mzamiaji toka huko taita taveta
Tumekutana since 2004 tukiwa wadogo (secondary) na sasa tumekuwa ni ndugu wenye Mafungamano kuanzia familia zetu na tayari tuna biashara za pamoja as a family.
Hawa hata nikiaga kwa wife naenda safari ikiwa nipo mjini kwa majukumu mengine ya kifamilia basi watafahamu na wataelewa namna ya kumjulisha shemeji yao ikiwa sipatikani hewani na ananiulizia kwao[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa ndio wananipa connections huko mikoani nikisafiri (mabaharia wanaelewa namaanisha nini)
This is how we live in Tz ndio maana jamaa huko lazima ashangae,
Na ni ajabu sana 21st Century kuwa na tribal mindsets dunia ya Leo,
This is only in Kenya and you may be surprised it is coming from those claiming to be educated.
But jus weekend nimekua na wachaga 6 tukila bata, so pia mimi niseme tanzanians are tribal too?,that logic cant hold water
watanzania wengi wanawake huja Kenya kujiuza. Kama nadanganya, muulize mleta mada huwa anatafuta nini kwenye vilabu vya Kenya kama sio kibiashara zaidiKwa kuzunguka kwenye forums za kenya aisee hawa jamaa wanapenda ngono hatari wana madanguro yao yanayojulikana na wote.
Na wengine wanasimulia jinsi walivyoibiwa wakiwa katika harakati za kutafuta ngono. Wanaita kuwekewa mchele.