Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
aaah kweli hii kali ila kuna kaujumbe
dah huku sisi tunazungumzia madawati kwa wanafunzi.....
Wenye roho nyepesi hawakawii kuanza kusema "bora kuzaliwa nyani ulaya...."
Kama ng'ombe anapewa pesa (ruzuku) zaidi ya dolla moja kwa siku katika maisha yake, je bongo kila binadamu anapata sh-ngapi kwa siku toka serikalini?
Wenye roho nyepesi hawakawii kuanza kusema "bora kuzaliwa nyani ulaya...."
Wenye roho nyepesi hawakawii kuanza kusema "bora kuzaliwa nyani ulaya...."