Demu akiamua hupati mchezo hupati tu ata ufanye. Mbinu gani hupati, mbinu zao ni za kijasusi ujawahi kuona? Ukimuita move getto anakuja na wenzake wawili, basi mzee utaangalia Move huku umenuna utaambulia hug tu.
Ukimtoa outing ukajifanya kwenda nae getto usiku ukale mzigo kumbe ameshakusoma anavaa "Pedi fake" zinanyunyuziwa Tomato sauce, chill sauce.
Mzee ukifika home na uchu wako kama fisi anakutizama unavyomchezea chezea. Alafu anakujibu kwa upole kabisa"Babe not to day. Shika uone mwenzio navuja nimeanza jana tu.
Be care mtu wangu akikujia na pedi tafuta njia mbadala bila hivyo utaishia hug tu