Vituko vya CCM

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
Hv mtatufanya watanzania kuwa wajinga mpaka lini?
Nashangaa mnatudanganya wazi wazi kama mchezo wa kuigiza! katka swala la katiba yenu mnayoitengeneza tamkeni hadharani ni katiba ya CCM na si katiba ya JMT.

Warioba alienda kwa wananchi akaleta maoni. nyie mkayapuuzia, wananchi wakalalamika mkawapuuza. ukawa wakalalamika mkawatukana. maaskofu wakanena nao mkawakashifu, mabalozi wakaaambia mkasema eti wanaingilia mambo ya ndani.

Hivi hamuoni aibu kukosolewa jambo hilohilo kutoka kila kona.

Mna uhalali gani ninyi mpuuze maoni ya wenye nchi!? kila kona mnakosolewa hamuoni hata aibu?
 
kijana umeongea vitu sio saizi yako ni vikubwa kuliko umri wako.big up dogo.CCM imelaaniwa tayari.
 

Ni wananchi gani hao wanaoikosoa CCM? Mbona wengi wetu tuko na CCM bega kwa bega?
 
Ni wananchi gani hao wanaoikosoa CCM? Mbona wengi wetu tuko na CCM bega kwa bega?

Mkosoaji mkubwa kwa sasa ni Kinana. Sikiliza hotuba zake. Mawaziri aliosema ni mizigo, wamechukuliwa hatua gani?
 
Watanzania tuache unafiki sbb ni mabingwa wa kulalamika lkn hatuchukui hatua.
katiba ikija mtajpigia kura 2.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…