Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wajuba wameona isiwe kesi acha wajiajiri.
Sipati picha timu wazeee uko walipo....awa vijana wana moto mapato yetu yanapungua wao wanaenda kisasa yaaaaani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒany way mambo yakiwa magumu na mm ntaanza dreadlocks kwanza sio zambi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚zingatia maokoto πŸƒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…