Mwili wa kijana Ally maarufu kama Dangote aliyetuhumiwa kuua Watu watatu, kuchoma visu Watu 15 na kubaka wengine Arusha, umezikwa usiku huu kimyakimya na Watu wanne katika makaburi ya Njiro waliowasili wakiwa na gari binafsi, taarifa zaidi tazama hapa youtube.com/watch?v=d4f7fP…
Unaambiwa Yule Dangote alikuwa na Wafuasi wake.Jana wametoa Tamko kuwa watawalaza Arusha saa 10 Jioni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]