Vituko mitandaoni. Tupia chako

𝙆𝙐𝙉𝘼𝙉𝙄 𝙃𝙐𝙆𝙊 𝙏𝙀𝙉𝘼 𝙈𝙏𝘼𝙉𝙄 [emoji16]

Nasikia Uto huko kigamboni baada ya Viongozi wa FIFA kuwasili wametumia Nguvu kubwa kujitambulisha na bado Collina, Wenger, Ifantino hawajawatambuwa, Eti wameulizwa Mnacheza Ligi gani", Wamejibu tunacheza ligi moja na Simba SC Tanzania ili iwe rahisi na wao kujulikana, Duh [emoji16].

#Utopolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…