Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nikupe na Onlyfans yake?

Anapelekewa moto sema mafaili ni makubwa sana 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Wee kumbee!

Embu ngoja siku nikijaza bando ntakucheki nakumbuka ile app ya warusi inakula mb kinoma. 😅😅😅😅😅.

Sema ipo vizuri sana 😬😬😬
 
Yeah!

Alichezea ujana wake sana. Na bado anauchezea. Kama kweli bado ana miaka 27 basi halijaharibika neno
Ana 35 mkuu ni mkubwa hata kwa mondi.

Kwa huyu sidhani kama ataweza kujibadilisha tabia na kuijenga tena cv yake ilihali mitandao haisahau kitu.

na si unajua ni mgumba kisa alitoa mimba ya kanumba kipindi hicho?

Ugumba haukuja hivi hivi tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…