Nowdays, I choose my battles very carefully; keeping in mind that most of them are a wastage of time as they have already been emphatically and conclusively won!
Sidhani kama Trump ana akili ya kutoa maneno ya kifalsafa kama haya. Aliyesema hivi kama siyo Bertrand Russel basi ni Immanuel Kant japo sina uhakika 😁🏃🏿♂️
"Mtoto wangu nimezaa na Mzungu, sikutka mtu yeyeyote ajue lakini alichokifanya Mkaliwenu nitamchukulia hatua kali. Mimi ndiye mtanzania wa kwanza kupendwa na warembo wa kizungu na kuzaa naye. Kama kuna mtu kazaa na Mzungu ajitokeze" Harmorapa