Vituko mitandaoni. Tupia chako

Uhusiano na Steven Kanumba ndiyo uliyomfungulia milango Wema upande wa filamu, Kanumba ndiye alimuambia anaweza kuigiza na kumpa nafasi katika filamu, A Point of No Return.

Hata hivyo, kupitia App yake Wema anadai katika uhusiano wao alitoa mimba mbili za Kanumba kitu ambacho anajutia hadi leo na anaona imekuwa kama laana kwake kutokana na kutopata mtoto hadi sasa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…