Kuna mdada mama ntilie yupo maeneo ya gereji barabara ya Mandela road kina kiuchoxhoro kama unaenda kanisani.
Aisee ni kiboko, anasambwanda kasi ya 5g, ngoma inatikisika kama kaweka maji kwenye mfuko wa rambo
Sent from my vivo 2015 using
JamiiForums mobile app