#MsasaTrending
TIKTOKER MAARUFU
AHOUFE AFARIKI DUNIA
Mtengeneza maudhui maarufu kwenye mtandao wa TikTok Ahoufe amefariki dunia baada ya kuumwa ambapo ugonjwa haujawekwa wazi, alijizoelea umaarufu kwa video na picha zake zilizokuwa zikitumika kama stickers kuchekesha watu.
Pumzika kwa Amani.