Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pole mama. Urais ni kazi ngumu. Kwa mifumo yetu hii ya kifisadi hata aje nani kututawala hali haitabadilika.

Wachina waliamua. Ukiiba mali ya umma unauliwa. Ndiyo kidogo mambo yakaanza kuwanyokea...Kote huko walikoweza kuendelea ni wakali sana kwenye kodi na ufisadi...

Pole sana. Jana ulikasirika kweli kweli. Na inavyoonekana huna la kuwafanya hawa mafisadi. Pengine unaonekana utaonekana mbaya. Nilikuhurumia jana



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…