Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu jamaa mbona namuona ka trend sana. Vipi kwani kafanyaje au alikuwa kapotea kapatikana?

Kuna jamaa naona kaposti status kuanzia leo haogopi tena polisi,kuna kwani mtusaidie tunaokaa huku Nanjilinji Kijijini
Ni baba wa familia ila kuna connection yake imevuja ni aibu na simanzi tupu.. Anaigawa hadhi yake ya jinsia tena kwa miuno hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…