Kuna vitu tunaviona ni vidogo sana maishani na hatuvipi umuhimu wowote, lakini vimebeba maana kubwa sana nyuma yake Wenzetu wenye kuwaza zaidi ya kuwaza wamevifuatilia, kuvifanyia utafiti na kupata majibu ya kushangaza mno..... Uhalisia wa mwanadamu kizani ni picha pindu ama ni kinyume na...