Hahaaa, kunasiku nilikuwa na google map kuhusu post office zilizokaribu na ubungo, si ikaja ya maeneo ya shekilango, na ikaniandikia kabisa na mda wa kufunga na kufungua.
Basi nikajiandaa mida ya saa tisa, kufika pale nikakuta mabox yamechoka na hakuna office ya posta na mda ushaenda na ilikuwa ijumaa