MUONEKANO WA MALAIKA Najua ushawahi kusifiwa na kuambiwa kuwa unaonekana mzuri kama Malaika na wewe unaichukuliaga kama Compliment! Ila ukiangalia Biblia inabidi ujihisi umetukanwa
Mara nyingi Malaika wanaonekana kama Wazuri,Ngozi Ang'avu na Mabawa,weupe,na wana Halo
Sura zote hakukufanyi kustuka na Kuzimia sijui utakuwaje, Makerubi wana seti mbili za mbawa seti moja kwajili ya Kupaa nyingine kujikinga mwili wake kuongezea wana Miguu Mirefu minyoofu na kwato za fahali zinang'aa na zinaogopesha
Mabawa 6 mbawa 2 wamejifunika nyuso zao,2 miguu na 2 wakipaa na kuelea nazo. Kama umehesabu Seraphim wanafanana kidogo na Makerubi ila wao hawana sura nyingi
Kuna aina nyingine ya Malaika ambao wanafanana kidoogo na Binadamu, hawa ni Wajumbe wa Bwana hawa wanafanana sababu wakitumwa wanatumia umbile lolote lile watakalo mara nyingi wanakuja kama Wanaume. Mfano Archangel Michael kama alivyoelezewa na Daniel
Today I am celebrating my 36th birthday, I am happy to be here with a community that we do not know each other but we love each other very much, and all lovers I wish to be kind to each of us
Today I am celebrating my 36th birthday, I am happy to be here with a community that we do not know each other but we love each other very much, and all lovers I wish to be kind to each of us