40) mkazi wa Kaloleni wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani Songwe kwa kumuua Berta Shugha (69), na kisha kuukata kata mwili wake vipande vipande na kuuchoma na kuanza kuula kama mishikaki.View attachment 2417228
Wale wote wanaosali kwa kuhani Musa mkimaliza ibada mrudi majumbani kwa wakati kutakuwa na kampeni ya kamatakamata kwa watakaokutwa wamelala au kupika karibu au jirani na ENEO la kanisa kwani amewakana wamini wanaopiga kambi kwake. Hivyo wataarifu ndugu,jamaa na marafiki hasa wanaokuja dsm na kukosa malazi.na wengine kwenda kutelekezwa zahanati ya kimara.