Vituko mitandaoni. Tupia chako

#HABARI Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu wawili akiwemo Rodrick Masawe mkazi wa Muheza kwa tuhuma za kukutwa na bastola (Pistol) bandia iliyotengenezwa kienyeji akiitumia kufanyia vitendo vya uhalifu huku akijifanya kuwa ni mtumishi wa serikali wa jeshi la JWTZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…