“Watu hawaelewi jambo moja la msingi nimewai kumweleza hata Magufuli Kwa maandishi kwamba Vyama vya siasa vipo kukusaidia wewe kuongoza wape mwanya wa kuyasema yooote juu yako ukiwa madarakani ukiondoka utulie, sioni sababu ya kuzuia mikutano ndo maana wakati wangu niliruhusu”JK