Paka na panya wanaonekana kirahisi, hilo hatuna haja ya kulijadili
Tunaanza na sura ya bint, kuna muunganiko wa vitu uliotengeneza sura ya binti hapo.
1. Pilipili = mdomo (lips)
2. Pua = mguu wa paka
3. Macho = kichwa cha paka
4. Nywele ya bint iliyoshuka usoni = mkia wa panya
5. Heleni ya bint sikio la kushoto = kichuma kilichoshikamana na hilo tambala hapo chini