Achana na hao wazee wawili ambapo mmoja kapiga magoti ishara ya kusali na mwingine akipanda farasi. Huyo kijana aliyekaa juu ya mti unaweza kuniambia kwanini yuko uchi?
Kuhusu paka na sura ya huyo binti pamoja na hicho kiganja kilichoshika mayai ya ndege tuachane nayo tutalijadili baadae, sasa huyo ndege wa nyuma huo mdomo wake ameuelekezea wapi??