Nanasi labambwa baharini ndani likiwa na picha ya mwanaume na mwanamke
Aliyeliona lilikuwa linasukumwa na maji kuja ufukweni likiwa limefungwafungwa na kamba na walipolifungua wakakuta ndani zipo picha za mwanaume na mwanamke ambao hawajaweza kufahamika mara moja
View attachment 2258580