Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mi nimeona ramani ya korido imetengenezwa vizuri hasa hasa kwenye Tiles. Wewe umeona Nini?View attachment 2149503
Hili ni jike dume kamanda.

Likigeuka hapo halafu likafunua hicho kigauni lina mshedede hilo! Linaishi huko Miami na kipindi fulani lilienea kwenye vyombo vya habari baada ya kukumbwa na kashfa ya kujifanya dokta bubu na kufanyia mabinti operesheni feki za kuongeza makalio kwa kutumia cement, dawa za kuzibia pancha, unga wa ngano na upuuzi mwingine. Binti mmoja alifariki na lilipigwa mvua 25+ kama sikosei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…