Vituko mitandaoni. Tupia chako

Alishawahi kukamatwa hapo kabla. Alikuwa anaendesha mafunzo makali ya kijeshi kwa wafuasi wake eti wawe imara kivita ili kumlinda yeye na ufalme wake. Akipita wanatandika zulia jekundu na wote wanasujudia na wengine kupiga mning'inio wa kikakamavu....

Huyu wakimwachia ni Kibwetere mtarajiwa na atakuja kuleta maafa huko mbele ya safari. Halafu mtu mwenyewe ukimwangalia vizuri na anavyoongea ni kama vile akili yake haiko sawa.

Wampige marufuku permanently kuendesha haya mambo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…