Hapa wengi nilijua mtatoka kapaSijaelewa hapa
Hamna kitu zaidi ya ulimiHuyu ni vipi?
OKHapa wengi nilijua mtatoka kapa
Angalia hapo mezani kuna sura ina reflect inaonesha bint akicheka
Kiprofesa kabisaNamwambia nilikuona umesimama nyuma yangu kupitia front camera nikaamua kukuzingua ili nione atensheni yako maana april fool sikukufanyia kituko chochote
Hilo swali ndio hata mm najiulizaMi najiuliza "Sasa hapa mbunye imekaaje"