Kuna mtu alinikuta nakula ugali na tangawizi eti akanishangaa. Maisha haya ni uamuzi wako tu ali mradi huvunji sheria wala kukunguwaza furaha za wengine.
Dharau zingine hazifai. Wewe unamgegeda mke wa mtu. Unampigia mumewe laivu kwenye video. Ili upate nini? Haya sasa; mwenye mke kapaniki kaja na kuwamiminia risasi wote. Mmepata faida gani? RIP?