Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mtumishi nilikumention somewhere jana; hopeful unaendelea vyema na kuzidi kuimarika.
Sikuona Mtumishi wangu mwema. Nisamehe! Sikupuuzia


Ukweli ni kwamba nimeimarika sana. Hata jogging zangu za asubuhi nimezianza. Sema tu mwili bado haujakaa sawa. Uchovu mno na tamaa ya kulala so I am taking it easy. Sema tu mwenzangu yeye bado kidogo. Anatapika sana na homa ya kupanda na kushuka. Ila kula anakula so kwa hilo tunamshukuru Mungu. Atakuwa nyumbani kwa siku 10!


Nyie huko vipi? Hamjambo?

Wewe ni lulu yenye thamani sana katika shimo la takataka na uliletwa hapa duniani ili kuwatia moyo wasafiri wote wenye mioyo iliyopondeka katika ile safari ndefu ya kujisaka na kujitafuta. May God continue blessing that blessed broken road...that led me straight to ......
 

Wa hivi hupatikana wapi, wasiosubiri mwanaume ahangaike na mistari na mashairi na sera, anakuambia muingie kwenye mechi moja kwa moja.
Kuna mmoja nilikua naye kitambo huko Tz, alikua akinitumia ujumbe mmoja tu akili zinanivuruga papo hapo, yaani anataja kabisa kwamba "baby upo chumbani nije unidin**"
 
Kwenye kitu ambacho sivungagi ni hicho,
Nivunge ili iweje kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…