Hii nchi usipojua kujisimamia mwenyewe,tegemea kila siku kuwa mlalanikaji.
Tusiidharau asili yetu,tukamtukuza mzungu,kisa ana teknolojia(tangawizi,malimao nk)
Binadamu wengi tunaishi Kwa kuigiza,kujipamba kwiingi kusiko na maana.
Hii kama ni kweli,huyu ni kichwa maji,haiwezekani uwe msanii mkubwa ushindwe kujenga hata slop nzuri kwenu.