Enzi hizo mko na demu ghettoni, kaseti ya Bob Marley inacheza huku ukiwa unatumia kalamu ku-rewind kaseti ya pili Lucky Dube, mademu walikua watamu sana enzi hizo maana mpaka umpate inabidi uhangaike sana, sio kama vijana wa leo anachagua kwenye safu ya simu amuite yupi.