Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hiki ni kivuko killichopo katika kata ya Lizaboni mjini Songea mkoani Ruvuma. Ujenzi wake umegharimu kiasi cha Sh. 7.8 milioni. Hapa ni wakati kikikaguliwa na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM ya Mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…