Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hili ni povu au?Maana hii lugha ilikuja na meli ikaondoka na ndege
 
Wenzio hawatishagi hivyo!Kumbuka hili ni jukwaa huru kila mwenye wakati wake anaingia.Ukileta ugomvi binafsi na mtu jua utakutana tu na wengine njia sahihi ni kureport kwa modes kama unahisi hukutendewa vema na member mwenzio.Kutishana si njia muafaka ya kumaliza au kusuluhisha tatizo
Usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu wala kujua yalikoanzia! Au ndo mwenyewe na umeamua kuingia na ID nyingine?! Kama sie, nakuonya kama nilivyokuwa nimemuonya muhusika mara kadhaa! STAY OUT OF THIS
 
Jukwaa huru but not every post is for everyone!! Keep jumping to other people's stand-off, and if you don't mind, lemme ignore you for good!!
 
Pambana mkuu inaonekana Numbi kakuudhi sana,simtetei nilijaribu kushauri najua si lazima ushauri uzingatiwe i stand to be corrected
Alinikera kwa sababu moja! Nilimkana mara 4 mfululizo na kumwambia sitaki shari na hapa JF kuna watu na nawaheshimu; na mara zote hizo alikuwa ananitukana! Kuepusha shari nikalazimika ku-log out!! Nilipo - login akaendelea na ile kusema kuna watu hapa nawaheshimu kwahiyo sipendi matusi; hiyo kwake akaona am a coward girl wakati post zangu zote zinaonesha am a man!:Nikafikia tamati ya ku-act ustaarabu mbele ya mtu asiye na chembe ya ustaarabu huku akidhani mdomo wake mrefu kila mtu anauogopa!
 
Numbisa kuja ujibu tuhuma huku umeanza utundu eeeh!So sorry mkuu for what happened.
 
Babe, please stop this
 
Jukwaa huru but not every post is for everyone!! Keep jumping to other people's stand-off, and if you don't mind, lemme ignore you for good!!
Usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu wala kujua yalikoanzia! Au ndo mwenyewe na umeamua kuingia na ID nyingine?! Kama sie, nakuonya kama nilivyokuwa nimemuonya muhusika mara kadhaa! STAY OUT OF THIS
 
Haya yaishe basi. Ujue ninyi wawili wote watu wangu kwa hiyo mnavyokuwa mnavunjiana heshima namna hii inaniumiza.
Numbisa mdogo wangu sameheaneni na shemeji yako I know you are a good girl, fanya hii kwa ajili yangu
I'm sorry my Princess; for you everything and I'll stop, once and for all; and trust me, this was my first time to be angry like this, and I tried to my level best to avoid it from the beginning; lakini ah!!
 
Upo vizuri shosti. Usilie bana una ka msabwax kanono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…