Hivi hii ramani ya uwanja tulikopi mahali au Ndio kwa Mkapa penyewe miaka ya 2005+?
Ukiangalia hii ramani pembezoni mwa huu uwanja kwa kweli jiji linabadilika kwa kasi. Kwa sasa ukikaa nje ya bongo miaka 20 ukija unapotea waalah!
Uhalalishe na mchepuko wako? Kivipi yaani? Mchepuko ndiye atakuoa wewe na ndume zingine kama 3 hivi mnamchangia...Leo analala kwa Joakimu, kesho kwa Jidulamabambasi, kesho kutwa kwa Ostaadh Omari. Utaiweza hiyo?