Huyu mzee wamemnyanyasa sana akina Malema. Ana kesi za rushwa zimemwandama na anapokuwa mahakamani ndo wanampiga hizi picha zinazotamba kwenye memes. Hajafika mahakamani kwa muda sasa na jaji ametoa amri akamatwe. Si ajabu ataishia kufungwa japo watu wengine wanalalamika kuwa anadhalilishwa tu kwa vile ni mweusi na kama angekuwa mzungu yote haya yasingemfika hata kama angekuwa na hizi shutuma za rushwa....
Alivutia watu sana alipolala na mwanamke ambaye alikuwa HIV+ na alipoulizwa kama alitumia kinga akasema hapana lakini alikwenda kukoga na maji ya uvuguvugu baada tu ya gemu....