Vituko mitandaoni. Tupia chako

Namtania tu, mbona nimeacha mambo hayo.. rafiki yangu 😊😊

Bushmamy

aaa wapi hajaacha mm namtumia kweli ngoja X-MAS iiishe wakafungiane kwa room anadhani ni mchezomchezo, mtoto akipiga kilagi lazima atoke nje kwa door kuzimua na upepo ni siku 7 mnajifungia, na uwe una dawa za bakora km za @Lwande Magere
 
jamani kuna nafasi ya kazi ya kuchora Tatoo, haihitaji utaalam utaelekezwa mshahara mnono, ila kurushiwa mkoxx km ngaliba, uwe mvumilivu usirekebishe zip mara kwa mara usiogope kulowana na mvua
no. ya simu niPM Kuhani Noah, anasbo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…