Siku ya tarehe 28 nitaamka zangu mapema kwenda kupiga kura kisha narudi home nafunga madirisha na mlango mpaka siku nitakayo sikia wanaapisha rais ndo nitatoka tena
Pale unatoka gesti mlangoni mara vuu jirani hawa hapa hee inabidi urudi tena kumwambia mwenizio asitoke mpaka jioni ili uwape kazi majirani nao ya kukaa hapo mpaka jioni