Leo ni siku ya kupeleka mahali ukweni ,mchumba kanitumia picha ya maandalizi ,na mm jana nikiwa na mahali yangu mfukoni, nilitoka na marafiki walio tarajia kunisindikiza, nashangaa nipo home mwenyewe, sina kiatu, sina shati sina suruali ,na sikumbuki Bar ya mwisho tulio kuwa hapa saizi simu za ukweni zina mimi nika "Twakusubiri weye shekhee uje kumaliza shughuri" najiuliza kama suruali yenyewe sina hiyo mahalije?